tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Viatu vya Wanaume
  5. Caterpillar Viatu vya Wanaume
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Buti Kali Na Imara Za CAT (Caterpillar Hiking/Safety Boots)

Ya Wanaume
Jinsia
Buti
Aina
Arubaini na moja, Arubaini na nne, Arubaini, Arubaini na tatu, Arubaini na nne, Arubaini na tano
Ukubwa
Chapa Mpya
Hali
Rangi nyingi
Rangi
Ngozi
Nyenzo za Juu
Nyingine
Vifaa vya Insole
Buti Kali na Imara za CAT (Caterpillar Hiking/Safety Boots) - Mzigo Mpya! Jipatie mabuti imara na yenye muonekano wa kijanja ya Caterpillar (CAT). Ni buti thabiti zilizoundwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku, mitoko ya kijanja, safari za porini (hiking), au kazi zinazohitaji ulinzi wa miguu. Zina soli nzito yenye matairi makubwa (heavy-duty grip) inayozuia kuteleza na kudumu kwenye mazingira yoyote magumu.
Buti Kali Na Imara Za CAT (Caterpillar Hiking/Safety Boots)Buti Kali Na Imara Za CAT (Caterpillar Hiking/Safety Boots)Buti Kali Na Imara Za CAT (Caterpillar Hiking/Safety Boots)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif