Buti Imara Za Combat Na Porini (Tactical Swat/Jungle Boots)
VIP TOP+
1/4
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
1 maoni
Buti Imara Za Combat Na Porini (Tactical Swat/Jungle Boots)
Ya Wanaume
Jinsia
Buti
Aina
Arubaini na moja, Arubaini na nne, Arubaini, Arubaini na tatu, Arubaini na nne, Arubaini na tano
Ukubwa
Alagzi
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Rangi nyingi
Rangi
Ngozi
Nyenzo za Juu
Ngozi
Vifaa vya Insole
Buti Gumu na Kali za Kiume za Kijeshi (Tactical Combat Boots) Inauzwa!
Jipatie buti imara sana kwa ajili ya mitoko ya kijanja, usafiri wa pikipiki, kazi ngumu, au safari za machimboni na porini. Zimeundwa kwa soli nene ya mpira isiyoteleza na kitambaa kinachopitisha hewa vizuri.