Kuza inayoweza kubadilishwa, Ufuatiliaji wa Mwendo otomatiki, Arifa ya Haraka, Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
Vipengele vya Kamera
Chapa Mpya
Hali
Hii ni wifi camera ya solar hakuna hata wire 1 inayotakiwa hapa ni wewe tu kununua kuifunga eneo lako
Inapiga kazi masaa 24 bila wewe kufanya chochote kile zaidi ya kuangalia tu kwenye simu au PC yako nini kinaendlea
Unganisha camera na wifi kazi imeisha