tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya IP
  5. Xiaomi Usalama na Ufuatiliaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni

Original Xiaomi Smart Camera C400 (2. Ultra HD 360° Security

+1
Kamera ya IP
Aina
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Picha Safi Mno (2.5K Ultra HD / 4MP): Inatoa video zenye muonekano wa wazi na halisi kuliko kamera za kawaida (1080p na 2K). ​ Muonekano wa Digrii 360 (Dual-Motor Pan-Tilt): Inazunguka pande zote (juu, chini, kushoto na kulia) bila kuacha kona yoyote ya chumba. ​ Dual-Band Wi-Fi (2.4GHz & 5GHz): Mfumo wa Wi-Fi wa kasi unaohakikisha video haigandi wakati unaitazama mubashara kupitia simu yako. ​ Smart Night Vision: Inatoa picha za wazi na zenye rangi hata kukiwa na giza au mwanga mdogo usiku. ​ AI Human Detection & Tracking: Mfumo wa akili mbandia unaotambua binadamu na kumfuatilia kwa kutumia lenzi huku ukikutumia taarifa (alert) papo hapo kwenye simu. ​ Two-Way Voice Call (Sauti ya Wazi): Ina maiki yenye mfumo wa kupunguza kelele na spika kubwa, inayokuruhusu kuongea na watu waliopo karibu na kamera vizuri kabisa.
TSh 220,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif