Ina muonekano wa kalamu ya kawaida yenye kamera iliyofichwa.
Inaweza kurekodi video.
Baadhi ya model zina uwezo wa kurekodi sauti.
Ina betri inayochajiwa kupitia USB, kulingana na model.
Inaweza kuhifadhi video kwenye memory card au kumbukumbu ya ndani.
Ni ndogo na rahisi kubeba.
Baadhi zina uwezo wa kupiga picha.
Inafaa kwa kurekodi kumbukumbu na matumizi halali ya kazi.