Jipatie Set Ya Alarm System,TV, Milango, Madirisha
1/9
+ 4
picha
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
15 maoni
Jipatie Set Ya Alarm System,TV, Milango, Madirisha
+1
6
Kigunduzi cha Mwendo
Aina
Dahua
Chapa
Wireless
Muunganisho
Ndani /Nje ya Nyumba
Matumizi
120degrees
Kuangalia Angle
0°C
Joto la Uendeshaji wa Min
90°C
Joto kubwa la Uendeshaji
PIR
Aina ya Kihisio cha Kigunduzi
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Magomeni kanisani,Kondoa street
Sinza Mapambano, King's park building 2nd floor
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-18:00
Jipatie GSM and WIFI alarm system kwaajili ya ulinzi wa TV, Milango,Madirisha,Korido na sehemu muhimu za nyumba
Ni System isiyotumia wire (wireless system)
Inakuja na panel yake yenye keyboard ya touch screen
Ina internal battery yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya masaa 24hrs
Inakuwa na sensor 4
=PIR sensor *1
=door contact sensor *1
=remote control *2
=RFID card *2
=Siren *1
Unaweza kuongeza sensor zingine zaidi ya 32
Inatumia line (SIM CARD)
Inaunganishwa na simu
Popo utapata notification
kwenye simu yako
na utaweza kuwasha na kuzima (arming and disarming) kupitia simu yako ya mkononi popote ulipo