Ina muonekano wa saa ya kawaida ya mezani.
Ina kamera iliyofichwa ndani ya kifaa.
Inaweza kurekodi video na sauti, kulingana na model.
Baadhi zina motion detection.
Baadhi zina uwezo wa kuona gizani (Night Vision).
Inaweza kuhifadhi video kwenye memory card.
Baadhi zina Wi-Fi kwa kuangalia video kupitia simu.
Inafaa kwa ufuatiliaji wa usalama wa nyumbani au ofisini, kwa matumizi halali.