tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya IP
  5. Bora Usalama na Ufuatiliaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
6 maoni

Bulb Wireless Camera

+1
7
Other
Chapa
Kamera ya IP
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Magomeni Mapipa
Magomeni Mapipa Road Before Kichangani Mosque Left If Coming from Town. Enter the Road left.
Closed
• Jumatatu, Jumapili, 09:00-21:00
•Kwanini uibiwe au ukose amani kwa uliyemuachia mtoto wako au mali zako ? •Njia bora yakujua anaeingia na kutoka katika sehem yako pamoja na kusikia wanayoongea •Inafaa kwa matumizi ya Nyumbani, Shambani, dukani , ofisini , Godown warehouse, Shuleni •Ni bulb kabisa unauwezo wakuwasha taa kama bulb ya kawaida •Full High Definition HD clear video •Unauwezo wakuconnect na simu na ukaangalia matukio yote kupitia simu yako ya mkononi muda wowote ulipo •Unaweza ukageuza kwenye angle zote 360 unazohtaji wewe kuona, mzunguko huo utacontrol kupitia app na kuona kila angle •Two way audio , ina mic na speaker yakuwasiliana pande zote mbili unaeza ukaongea nao kwa simu kupitia camera hiyo •Inaona mpaka usiku clear kabisa •Unaweza ukaweka memorycard na kukurekodia matukio yote •Motion sensor setting, itadetect mtu anapopita na kutuma notification kwamba kuna mtu amepita hapo hivo kukupa nafas yakuangalia •Rahisi kutumika na unaweka sehemu yeyote •Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Bulb Wireless CameraBulb Wireless CameraBulb Wireless CameraBulb Wireless CameraBulb Wireless CameraBulb Wireless Camera
TSh 85,000
35 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif