Ina lenzi tatu kwa ufuatiliaji wa maeneo tofauti.
Ina uwezo wa kuona usiku (Night Vision).
Ina mfumo wa kutambua mwendo (Motion Detection).
Inaweza kuunganishwa na simu kupitia Wi-Fi, kulingana na model.
Inaruhusu kufuatilia eneo ukiwa mbali.
Baadhi ya model zina sauti ya pande mbili (Two-Way Audio).
Baadhi zina uwezo wa kuzunguka na kurekodi video.
Inafaa kwa ulinzi wa nyumbani, dukani, ofisini na kwenye maghala.