tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ajira
  3. Kazi za Mauzo na Uuzaji wa Uuzaji wa simu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 11 yaliyopita
8 maoni

Bmtrust7 Vodacom Team

+1
Aina ya kazi
Wakati wote
Mpangilio wa Kazi
Mbali
Tarehe ya mwisho ya Maombi
Januari 30,2027
Majukumu
Kusajili laini za mtandao wa Vodacom na unaungwa kwenye group la timu kwa ajili ya support ya vifaa na vitu vingine vya kikazi. Uhakika wa kuingiza shilingi laki 1 mpaka laki 7 kwa mwezi na utalipwa aoutomatic kila ikifika terehe 24
Ujuzi Unaohitajika
Ujuzi unaohitajika ni uwezo wa kutumia simu kubwa vizuri unakuwa wakala na unaiingiza kipatoa chako bila stress
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
Hhakuna vigezo vingi vya kufuzu zaidi ya kuwa na simu kubwa na utayari wa kufanya kazi kwa kujituma na kukubadilishia maisha yako kupitia uwakala wa Vodacom.
Uzoefu wa chini
chini ya mwaka moja
Kikubwa ni utayari wa kufanya kazi na kutoa ushirikiano pale utakapohitajika na tuna kuhakikishia kupata vifaa vya kazi na laini za kusajili .
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe ada ya kutuma maombi ya kazi/kufanyiwa mahojiano
  • Epuka kwenda kwa mahojiano katika anwani isiyo rasmi ya ofisi
  • Fanya utafiti wako wa kina na uangalie habari kuhusu kampuni
  • Usiwahi kufichua maelezo ya kibinafsi kabla ya kupata ofa ya kazi
frame_left.gif