*WG-XZ-24 ELECTRIC PRESSURE FRYER - Free Standing*
-
1/2
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
36 maoni
*WG-XZ-24 ELECTRIC PRESSURE FRYER - Free Standing*
-
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
24L
Uwezo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakooo
Imefungwa sasa
• Jumamosi, 06:50-20:00
Mkoa wa Arusha • Arusha
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumamosi - Jumapili, 08:15-08:30
WG-XZ-24 imetengenezwa kwa ajili ya kukaanga kwa kiwango kikubwa na kwa ufanisi, ikiwa na uwezo wa kurudisha joto haraka. Inafaa kwa kukaanga kuku, chipsi, samaki na vyakula vingine vilivyopakwa coating/unga.
Mfumo wa pressure frying unapunguza muda wa kupika, husaidia chakula kubaki na unyevu ndani, na kutoa ukripsi mzuri zaidi ukilinganisha na fryer za kawaida zinazokaanga bila pressure.
Mfumo wake wa umeme hutoa joto safi na linalodhibitiwa kwa uthabiti, bila mabadiliko ya joto yanayoweza kutokea kwenye fryer zinazotumia gesi.
Kwa kuwa ina ujazo wa lita 24 na nguvu ya 13.5 kW, inafaa kwa biashara zinazohitaji uzalishaji mkubwa wa vyakula vya kukaanga, kama vile migahawa, fast food, hoteli na biashara za chips/kuku.
Muhimu: Voltage yake ni 380V, phase 1, hivyo kabla ya kununua ni vizuri kuhakikisha aina ya umeme uliopo inaweza