tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma za Uchapishaji
  4. Huduma
Dar es Salaam, Ilala, 13/04
18 maoni

Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)

+1
LEE-KAS GRAPHICS & TEXTILES STUDIO
Jina la kampuni
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Ilala
1-3 mchana
Bila malipo
Mimi ni mbunifu wa picha (Graphic Designer) mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 8, nimebobea katika kusanifu michoro ya kipekee kwa ajili ya viwanda na biashara. UBUNIFU WA NGUO: Michoro ya Kanga na Vitenge (Seamless patterns/Wax prints) kwa ajili ya uzalishaji wa viwandani. BRANDING: Kusanifu Nembo (Logos) za kisasa na zenye mvuto. GRAPHICS: Mabango, kadi za biashara, na vipeperushi (Flyers).
Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)Mtaalamu Wa Ubunifu Wa Kanga, Vitenge Na Nembo (Logos)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif