tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Vichapishaji
  5. Mobile Vichapishaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
67 maoni

Portable Bluetooth Thermal Receipt Printer

+1
Nyingine
Aina
Other
Chapa
P58E
Mfano
Chapa Mpya
Hali
Tunauza Portable Bluetooth Thermal Printer inayofaa kwa biashara zinazohitaji kuchapisha risiti kwa urahisi na haraka. Printer hii inaunganishwa kupitia Bluetooth, hivyo unaweza kuitumia pamoja na simu au mfumo wa POS kulingana na application/software unayotumia. Sifa kuu: Bluetooth connectivity Portable na rahisi kubeba Thermal printing – haitumii ink wala cartridge Printing ya haraka na yenye usafi Rahisi kutumia Inafaa kwa matumizi ya biashara ya kila siku Inafaa kwa: Maduka, restaurants, pharmacies, supermarkets, delivery businesses, mobile sales, POS systems na biashara nyingine zinazotoa risiti. Ni chaguo zuri kwa biashara inayotaka printer ndogo, rahisi kutumia na kupunguza gharama za ink. Wasiliana nasi kwa bei, availability na maelezo zaidi. - +
Portable Bluetooth Thermal Receipt Printer
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif