tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Vichapishaji
  5. Konica Vichapishaji na Scanner
  6. Konica Minolta Bizhub
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
236 maoni

Konica Minolta Bizhub C554 Coloured

+1
Mashine ya Photocopier
Aina
Mfano
A3 (297 x 420 mm), A4 (210 x 297 mm)
Ukubwa wa Karatasi Unaoungwa mkono
Rangi
Rangi
USB, Wi-Fi, Nyingine
Muunganisho
Kutumika
Hali
Konica Minolta bizhub C554 ni laser multifunction printer (MFP) inayofaa kwa ofisi za kati hadi kubwa. Inafanya print, copy na scan kwa rangi na nyeusi/kijivu kwa ubora mzuri na kasi ya juu. Kasi ya uchapishaji/kunakili: Takriban 55 pages per minute (ppm) kwa ukurasa wa A4. Ubora wa picha: Print hadi 1200×1200 dpi kwa maandishi na picha safi. Duplex printing: Ina uwezo wa auto duplex printing (chapisho mbele na nyuma kiotomatiki). Scanner: Ina duplex scan kwa kuscan pande mbili kwa wakati mmoja; faili zinaweza kuhifadhiwa kama PDF, TIFF au JPEG na kutumwa kwa email, USB au kuhifadhi kwenye mtandao. Uendeshaji wa karatasi: Ina trays kadhaa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi karatasi; inasaidia karatasi hadi A3 pamoja na karatasi zenye uzito tofauti. Unganishaji: Inakuja na Ethernet (mtandao) na USB; pia ina Wi‐Fi na mobile printing kwa urahisi
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif