tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Mashine ya Kunakili
  5. Canon Mashine ya Kunakili
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 59 min ago
37 maoni

Canon Ir1133 – Gharama Nafuu, Faida Kubwa Kwa Biashara

+1
Mashine ya Photocopier
Aina
Canon
Chapa
1133
Mfano
A4 (210 x 297 mm), B6 (125 x 176 mm)
Ukubwa wa Karatasi Unaoungwa mkono
Nyeusi/Nyeupe
Rangi
USB, Wi-Fi, Nyingine
Muunganisho
Kutumika
Hali
Kasi na Ufanisi Mkubwa – Inamaliza kazi haraka bila kusubiri Inaokoa Gharama – Toner na umeme matumizi madogo Imara na Inadumu – Inafaa kwa kazi za kila siku bila kusumbua Inafaa kwa Ofisi & Stationery – Inaweza kuhudumia wateja wengi Uchapishaji wa Pande Mbili – Okoa karatasi na pesa Usalama wa Nyaraka (PIN) – Linda taarifa muhimu Matengenezo Rahisi & Vipuri Vinapatikana Kwa kifupi: Ni mashine ya kuaminika, ya haraka, na yenye faida kwa biashara yoyote inayohitaji uchapishaji wa kila siku.
TSh 750,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif