tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Mashine ya Kunakili
  5. Canon Mashine ya Kunakili
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 12 min ago
11 maoni

Canon Imagerunner 1133 – Imara Kwa Kazi Za Kila Siku!

+1
Mashine ya Photocopier
Aina
Canon
Chapa
1133
Mfano
A3 (297 x 420 mm), A4 (210 x 297 mm)
Ukubwa wa Karatasi Unaoungwa mkono
Nyeusi/Nyeupe
Rangi
USB, Wi-Fi, Nyingine
Muunganisho
Kutumika
Hali
Unatafuta mashine ya kuaminika kwa ofisi au biashara yako? Canon 1133 ni chaguo bora kwa print, copy & scan kwa haraka na kwa gharama nafuu. Sifa Kuu: Kasi hadi 33 kurasa kwa dakika (A4) Black & White laser – maandishi makali na safi Duplex automatic (chapisha pande mbili) Uwezo mkubwa wa karatasi – inafaa kwa kazi nyingi Rahisi kutumia na kudumu muda mrefu Faida Zake: Inafaa kwa ofisi zote Matumizi madogo ya toner – kuokoa gharama Inafanya kazi bila kusumbua hata kwa matumizi ya kila siku Canon 1133 – Ufanisi, uimara na uhakika kwa bei rafiki!
TSh 750,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif