tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Mashine ya Kunakili
  5. Canon Mashine ya Kunakili
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
6 maoni

Canon 1435 – Ubora Unaodumu, Kutoka Ujerumani

+1
Mashine ya Photocopier
Aina
Canon
Chapa
1435
Mfano
A4 (210 x 297 mm)
Ukubwa wa Karatasi Unaoungwa mkono
Nyeusi/Nyeupe
Rangi
USB, Wi-Fi, Nyingine
Muunganisho
Kutumika
Hali
Sifa Kuu za Canon 1435 Uwezo na Kazi Print, Copy & Scan – Kifaa cha kazi tatu kwa wakati mmoja Kasi ya Uchapishaji – Hadi karatasi 33 kwa dakika (A4) Duplex Automatic – Inachapisha pande mbili moja kwa moja, inakupunguzia gharama ya karatasi Tray ya Karatasi Kubwa – Inaweza kubeba karatasi nyingi, kupunguza muda wa kujaza tena Ubora na Usalama Ubora wa Uchaguzi – Nyaraka zinachapishwa wazi na za kitaalamu Secure Print / PIN – Linda taarifa zako muhimu Faida Za Biashara Gharama Nafuu kwa Kila Print – Toner na umeme matumizi madogo Ongeza Ufanisi wa Ofisi Yako – Wafanyakazi wako wanakuwa na muda zaidi Inafaa Kwa Ofisi Ndogo, Za Kati, Na Stationery Shops – Huduma haraka kwa wateja Matengenezo Rahisi & Vipuri Vinapatikana – Hakuna usumbufu wa muda mrefu
TSh 950,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif