tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Zana za mkono za umeme
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
1 maoni

Garrett Goldmaster 24k

Master
Chapa
Garrett
Aina
Chapa Mpya
Hali
Garrett Goldmaster 24k ni metal detector ya kisasa iliyotengenezwa mahsusi kwa kutafuta dhahabu na metali yenye usahihi wa hali ya juu. 1 : UWEZO WAKE; • Vumbi la dhahabu / kipande cha 0.1g - 0.5g: 3cm - 10cm • Nugget ndogo ya 1g - 2g: 10cm - 20cm • Nugget ya 5g - 10g: 20cm - 35cm • Kipande kikubwa zaidi ya 20g: Inaweza fika 40cm - 60cm : SIFA ZAKE; - Teknolojia ya kisasa ya 48 kHz kwa uwezo mkubwa wa kugundua vipande vidogo vya dhahabu Inafanya kazi vizuri kwenye maeneo yenye madini mengi (high mineralized soil) - Ground Balance ya kisasa kwa matokeo sahihi zaidi - Rahisi kutumia kwa wanaoanza na wataalamu - Inafaa kwa utafutaji wa dhahabu migodini, milimani na maeneo mbalimbali
Garrett Goldmaster 24kGarrett Goldmaster 24k
TSh 3,500,000
29 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif