tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Zana za mkono za umeme
  4. Zana za mkono za umeme
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
5 maoni

5 in 1 Car Electric Jack and Emergency Tool Kit

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Swahili na Kaliakoo st
Call or Whatspp
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 10:00-20:00
*#5 in 1 Car Electric Jack & Emergency Tool Kit * Hiki ni kifaa kamili cha dharura kinachokusaidia kubadilisha tairi kwa urahisi bila nguvu nyingi. Kina electric jack ya kuinua gari, air compressor ya kupuliza tairi , nyaya za power, sockets, glovu na vifaa muhimu vya usalama, kinafanya kazi moja kwa moja kupitia socket ya gari. Ni rahisi kutumia, salama na bora kwa safari za mbali au matumizi ya kila siku, hakikisha uko tayari muda wowote tairi likipata tatizo .
5 in 1 Car Electric Jack and Emergency Tool Kit
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif