Prepaid Submeter Ya Moonstar – Dhibiti Matumizi Ya Umeme Kwa Urahisi!
1/2
Dar es Salaam, Ilala, 11/06
34 maoni
Prepaid Submeter Ya Moonstar – Dhibiti Matumizi Ya Umeme Kwa Urahisi!
+1
1
MOONSTAR
Chapa
Submeter
Aina
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1-2 mchana
TSh 3,000 - 10,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Call & normal text
Open
• Jumatatu - Jumapili, 06:12-23:58
Prepaid Submeter ya Moonstar ni kifaa cha kisasa kinachokuwezesha kudhibiti matumizi ya umeme kwa kila mpangaji au chumba kwa urahisi. Hufungwa chini ya mita kuu ya TANESCO na humpa kila mtumiaji uwezo wa kutumia umeme kulingana na kiwango chake binafsi bila kuingiliana na wengine. Mfumo huu ni wa kulipia kabla ambapo mtumiaji hununua token na kuingiza kwenye mita kupitia keypad, hivyo umeme huendelea kulingana na unit ulizonunua na ukiziisha hukatika hadi uongeze tena. Hii huondoa kabisa madeni ya bili na migogoro ya malipo. Inafaa kwa nyumba za kupanga na biashara, ni rahisi kutumia, salama na inaongeza thamani ya jengo lako. Wasiliana nasi Moonstar leo kwa bei nafuu na ufungaji wa uhakika.