tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Vifaa vya Kielektroniki
  4. Nishati ya Jua na Inayoweza Kurejeshwa
  5. Seli za Sola
  6. Nishati ya Jua na Inayoweza Kurejeshwa
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 6 yaliyopita
1 maoni

Hz Solar Panel

+1
HZ solar
Chapa
Seli za jua
Aina
Chapa Mpya
Hali
4%
Ufanisi
100watts
Nguvu ya Seli
12
Voltage ya Seli
PATA UMEME WA UHAKIKA NA SOLAR YA WATTS 100! Je, umechoka na adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara? Solar ya Watts 100 ndiyo suluhisho la gharama nafuu na la uhakika kwa ajili ya nyumba au biashara yako!Mfumo huu una nguvu ya kutosha kuendesha: Taa 5 hadi 8 za LED (ndani na nje ya nyumba). Kuchaji simu za familia nzima. Kuwasha TV ndogo (LED) na King'amuzi ili usipitwe na habari.Ni rahisi kufunga na inakuja na udhamini (warranty) wa uhakika. Usikubali kukaa gizani wakati jua ni bure!
Hz Solar PanelHz Solar Panel
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif