Imetengenezwa kwa vifaa imara na vinavyodumu.
Husaidia watoto kukuza nguvu za misuli.
Huboresha balance, uratibu wa mwili na uwezo wa kushika.
Huchochea mazoezi na michezo ya watoto.
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani au playground.
Muundo wa kuvutia unaowafanya watoto wafurahie kucheza.
Inahitaji kufungwa imara na kutumiwa chini ya uangalizi wa mtu mzima.