Merry-Go-Round ya Watoto (Seesaw ya Mzunguko)
Kifaa cha kuchezea watoto chenye viti 4, kinachozunguka kwa ajili ya burudani na mazoezi ya watoto. Kina muundo imara wa chuma na viti vya rangi zinazovutia.
Kinafaa kwa shule, chekechea na playground za watoto.
Huchangamsha watoto na kuwasaidia kucheza pamoja.
Muundo imara na viti vyenye migongo kwa ajili ya kukalia.
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na maeneo ya michezo ya watoto.