tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Usafiri wa Kibinafsi
  4. Baiskeli
  5. Mountain Baiskeli
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
73 maoni

Foldable Mountain Bike

+1
Other
Chapa
Baiskeli
Aina
Mountain Bike
Aina ndogo ya baiskeli
Unisex
Aina ya Mpanda
Chapa Mpya
Hali
Sifa Muhimu (Uspesho)Inajikunja (Foldable): Unaweza kuikunja katikati ili iingie kwenye buti ya gari au isibane nafasi ndani ya nyumba.Gia 21: Zinafanya baiskeli iwe nyepesi sana wakati wa kupanda milima na kuwa ya kasi kwenye barabara tambarare.Shock Absorbers (Mbele na Katikati): Zinalinda mgongo na mwili wako usitingizike unapoingia kwenye mashimo au barabara za vumbi.Breki za Diski (Disc Brakes): Zinafanya baiskeli isimame haraka na kwa usalama mkubwa kuliko breki za kawaida.Namna ya KuitumiaKujikunja/Kukunjua: Fungua au kaza lachi (shiko la chuma) iliyopo katikati ya fremu ili kuikunja baiskeli au kuifunga tayari kwa safari.Kubadilisha Gia: Badilisha gia kwa kutumia vishikio vilivyopo mkononi ukiwa unakanyaga kanyagio (pedal)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif