tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma nyingine
  4. Huduma
Dar es Salaam, Ilala, masaa 9 yaliyopita
3 maoni

Sme Vodacom Bundles

+1
Vodacom SME bundles agent
Jina la kampuni
Android
Aina
Uwasilishaji
Nchini kote
1 mchana
Bila malipo
Habari,tunawakaribisha wateja wote wa mtandao wa Vodacom kujiunga na huduma hii mpya na kubwa zaidi ,huduma ya Vodacom SME bundles ni huduma ambayo imegawanyika mara mbili 1.DATA PLAN,2.COMBO PLAN,kwa kuanza na data plan ni huduma inayomuhusisha mteja wa Vodacom kununua kifurushi cha internet pekee yaani GB mf:kwa TZS 15k mteja anajipatia 10Gb mwezi mzima, na Combo plan ni huduma inayomuhusisha mteja wa Vodacom kununua kifurushi cha internet,muda wa maongezi pamoja na SMS mf: TZS 15k mteja anajipatia 7GB,Dakika 500 mitandao yote na SMS 100 mwezi mzima, Gharama zetu ni nafuu sana zinaanzia 15k,20k,30k,50k,60k,75k na 100k kwa mawasiliano075XXXXXXX
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif