Unatafuta huduma bora za afya?
karibu katika clinic zetu zilizopo mikoa mbalimbali tanzania na zambia.
tunatoa huduma za uchunguzi, vipimo, ushauri na matibabu kwa changamoto mbalimbali za kiafya, zikiwemo:
magonjwa na changamoto tunazohudumia
• kisukari (diabetes) • shinikizo la damu (hypertension) • magonjwa ya moyo • arthritis na maumivu ya viungo • magonjwa ya figo • changamoto za ini • vidonda vya tumbo • matatizo ya mfumo wa chakula • maambukizi ya njia ya mkojo (uti) • changamoto za mfumo wa uzazi • matatizo ya homoni • changamoto za uzazi kwa wanawake na wanaume • magonjwa ya mfumo wa hewa • matatizo ya tezi dume • unene uliopitiliza
huduma zetu . ushauri wa kitaalamu. vipimo mbalimbali. matibabu kulingana na majibu ya vipimo .
tunapatikana tanzania nzima .
kwa maelezo zaidi na kupata maelekezo ya huduma, wasiliana nasi.