tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Mifumo ya Mesh WiFi
  5. Tp-Link Bidhaa za Mitandao
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
1 maoni

TP-Link Re200 Ac750 Mesh Wi-Fi Extender

+1
Pointi ya Ufikivu
Aina
Chapa
Tp-Link Re200 A
Mfano
100 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
20
Idadi ya Bandari za LAN
Chapa Mpya
Hali
​Ondoa "Wi-Fi Dead Zones" leo kwa kutumia TP-Link AC750 Mesh Wi-Fi Extender (RE200). Kifaa hiki kinapokea signal kutoka kwenye router yako na kuisambaza kwa nguvu zaidi maeneo yote ya nyumba. ​ Dual Band Speed: Inatoa kasi ya hadi 750Mbps (433Mbps kwenye 5GHz na 300Mbps kwenye 2.4GHz). OneMesh Technology: Inatengeneza mtandao mmoja (seamless) — simu yako haitakatakata unapotembea kutoka chumba kimoja kwenda kingine. Easy Setup: Unaweza kuset kwa sekunde chache ukitumia App ya TP-Link Tether kwenye simu yako. Inafanya kazi na Router yoyote: Huna haja ya kubadilisha router uliyonayo sasa.
TSh 185,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif