tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Kipanga njia
  5. MikroTik Kipanga njia
Dar es Salaam, Ilala, 03/06
11 maoni

Rb962uigs-5hact2hnt Hap Ac

+1
Kipanganjia
Aina
MikroTik
Chapa
RB962UIGS
Mfano
1000 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
5
Idadi ya Bandari za LAN
Chapa Mpya
Hali
MikroTik RB962 hAP ac ni router yenye uwezo wa kufanya kazi nyingi kama Router, Access Point, Hotspot, Firewall na Bandwidth Control, hivyo inafaa kwa ISP na biashara ndogo kusimamia users wengi wa kawaida. Ina SFP port kwa ajili ya fiber, WiFi ya dual band (2.4GHz coverage ya mbali na 5GHz speed ya juu), na pia inasaidia PoE hivyo inaweza kuwashwa kupitia LAN cable bila hitaji la power nyingi, jambo linalorahisisha installation na matumizi.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif