tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Adapta za WiFi
  5. Wi-Fi Bidhaa za Mitandao
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
5 maoni

​Mini USB WiFi Adapter 300Mbps - Kwa Laptop Na PC ​u

+1
Nyingine
Aina
Other
Chapa
802
Mfano
300 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Kasi ya Juu (High Speed): Inasawazisha hadi 300Mbps kwa ajili ya kuperuzi intaneti, kuangalia video (streaming), au kucheza game bila kukatika. ​Teknolojia ya Wi-Fi: Inatumia Standard ya 802.11n / b / g inayokubali router zote za Wi-Fi au Hotspot ya simu. ​USB 2.0 Interface: Inachomeka kwenye port yoyote ya kawaida ya USB katika kompyuta yako. ​Ukubwa Mdogo (Mini / Nano Design): Ni ndogo sana na haichukui nafasi, unaweza kuiacha imechomekwa kwenye laptop bila kuisumbua. ​Matumizi Rahisi (Plug & Play): Ni rahisi sana kuifunga na kuanza kutumia kwenye Desktop au Laptop. ​Matumizi Mbalimbali: Inafaa kwa wanaotaka kuunganisha Desktop Computer na intaneti ya Wi-Fi/Hotspot au kufufua Wi-Fi ya Laptop iliyoharibika.
​Mini USB WiFi Adapter 300Mbps - Kwa Laptop Na PC ​u
TSh 25,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif