Shimo la Ethaneti, RJ-arubaini na tano, USB 2.0, USB 3.0, Nyingine
Violesura
5
Idadi ya Bandari za LAN
WPA-PSK/WPA-PSK2, WPA/WPA2, WPA2-Biashara
Usalama
Nyingine
Msaada wa MIMO
Mbili
Idadi ya Antena
Nje
Aina ya Antena
Nyingine
Shimo la WAN
FTP-Sava, PoE, QoS, VPN, WPS
Vipengele vya Router
802.11 ax
Viwango vya WiFi
Chapa Mpya
Hali
mikrotik hap ax3 (model: c53uig+5hpaxd2hpaxd)
router yenye nguvu kubwa na mfumo wa kuuza internet (hotspot/billing system).
sifa kuu za kifaa (hardware specs):
wi-fi 6 (dual-band): internet yenye spidi ya juu sana (hadi ax1800), haiiingiliani hovyo na network za majirani na inapenya kuta kwa urahisi.
processor ya nguvu: quad-core 1.8 ghz cpu na ram ya 1 gb. haigandi hata kukiwa na watumiaji wengi na downloads nzito.
port za waya: port 1 ya ultra-fast (2.5g) na port 4 za kawaida (1g) kwa ajili ya kompyuta, tv, au switch.
antena kubwa za nje: zinasambaza wi-fi umbali mrefu zaidi.
usb 3.0 port: unaweza kuweka modem ya simu (4g/5g) kama internet ya akiba.
mfumo wa vocha na malipo (hotspot & billing system):
mikrotik user manager (v7): mfumo wa ndani wa kutengeneza na kuuza internet kwa kutumia vocha/token