tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Kipanga njia
  5. HiLink Kipanga njia
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

HiLink 5G+ Mobile WiFi Router & Power Bank 8000mAh (Global Edition)

+1
Kipanganjia
Aina
Chapa
Hilink 5G
Mfano
150 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
more than 24
Idadi ya Bandari za LAN
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Mtandao wa Kasi Zaidi (5G+): Inatumia teknolojia ya kisasa ya 5G+ kukupa internet ya kasi sana kwa ajili ya kudownload, ku-stream, na kufanya kazi za mtandaoni. ​Betri Kubwa ya 8000mAh: Inakaa na chaji muda mrefu bila kuzimika kwa haraka. ​Inafanya Kazi Kama Power Bank (Super Charge): Unaweza kuitumia kuchajia simu yako au kifaa kingine unapokuwa safari. ​Global Edition (World Bands Roaming): Inakubali laini za mtandao wowote na inaweza kutumika mahali popote duniani. ​Gigahome WiFi: Inatoa signal imara ya WiFi inayoweza kuunganisha vifaa vingi kwa wakati mmoja (simu, laptop, TV, n.k.). ​Sifa za Ziada: Inasapoti Super Software, TTL/IMEI/MAC modification capability.
TSh 350,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif