tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
3 maoni

Bluetooth 5.1 Wireless USB Adapter

Nyingine
Aina
Other
Chapa
BT 5.1
Mfano
300 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Toleo la Bluetooth 5.1: Connection ya haraka na yenye nguvu bila kukatika au kuchelewa (Fast Connection & High Speed). ​Uoanifu Mpana (Compatibility): Inafanya kazi kwenye kompyuta zenye Windows 7, 8.1, 10, 11 na Linux. ​Vifaa Inavyosaidia: Inaunganisha Simu (Smartphones), Tablets, Laptops na Desktop Computers. ​Multi-Device Connection: Ina uwezo wa kuunganisha vifaa zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja. ​Ukubwa Mdogo (Compact Design): Ni ndogo mno, ukichomeka kwenye USB port ya laptop haisumbui wala haichukui nafasi. ​Plug & Play: Ni rahisi kutumia na kuiset kwenye kompyuta yako.
Bluetooth 5.1 Wireless USB Adapter
TSh 25,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif