Google Pixel 7 Pro ni simu ya kisasa yenye ubora wa juu na performance ya haraka sana. Ina display kubwa ya 6.7” LTPO AMOLED 120Hz inayotoa picha safi na smooth.
Inaendeshwa na Google Tensor G2 chip pamoja na 12GB RAM, hivyo inafanya kazi bila lag na inafaa multitasking na gaming.