* Skrini ya inchi 6.1 Super Retina XDR OLED.
* Kamera mbili za nyuma 12MP + 12MP.
* Kamera ya mbele 12MP.
* Chip A15 Bionic yenye kasi na nguvu.
* Storage 128GB
* Betri yenye uwezo mzuri wa kudumu.
* Inatumia 5G Network.
* Face ID kwa usalama wa simu.
* Inarekodi video za 4K.
Muonekano wa kisasa, picha zenye ubora zaidi