Simu zimenyooka sana, kama zilivonunuliwa hazijabadilishwa chochote kabsa , unaruhusiwa kuja dukani kukagua vzur zaid kwa faida yako bei ni ya kugawa, wahi dukani kariakoo mtaa wa masasi na msimbazi (kkkt) , kwa bei elekezi utapewa (COVER, PROTECTOR na CHARGER ORIGINAL na AIRPODS ORIGINAL bure)