Muundo wa kisasa na rahisi kutumia.
Husaidia kuondoa nta ya sikio kwa uangalifu.
Baadhi zina kamera ya HD inayounganishwa na simu.
Huwa na mwanga wa LED kwa ajili ya kuona vizuri.
Baadhi zinaweza kuunganishwa na simu kupitia Wi-Fi au Bluetooth.
Ina vichwa laini vinavyoweza kubadilishwa, kulingana na modeli.
Ni ndogo na rahisi kubeba.
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani kwa kufuata maelekezo ya mtengenezaji.