Hupima presha ya damu kwa usahihi.
Inachajiwa kwa USB, hakuna ulazima wa betri za kubadilisha mara kwa mara.
Huonyesha kiwango cha systolic na diastolic.
Huonyesha mapigo ya moyo (Pulse Rate).
Ina screen kubwa ya digital inayosomeka kirahisi.
Ina kumbukumbu ya vipimo vilivyopita.
Ni rahisi kutumia nyumbani au safarini.