tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Zana za Kupima na Upimaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 5 yaliyopita
11 maoni

Mold Za Dhahabu

+1
Chapa Mpya
Hali
Mold za Dhahabu
Chapa
Mold za Dhahabu
Aina
Uwasilishaji
Nchini kote
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Open
• Jumatatu - Jumapili, 05:00-23:00
Tunauza Mold za Dhahabu, vifaa vya kisasa vinavyotumika kutengeneza maumbo ya dhahabu safi au dhahabu iliyochanganywa na madini mengine. Mold hizi ni imara, zenye ubora wa juu, na zinafaa kwa wachimbaji wa dhahabu, madini ya thamani, viwanda vidogo vya utengenezaji wa bidhaa za dhahabu, na wapenzi wa ufundi wa dhahabu. Zinasaidia kupata umbo sahihi, kupunguza upotevu wa dhahabu na kuongeza ufanisi wa kazi.
TSh 400,000
Bei isiyobadilika
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif