tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Zana za Kupima na Upimaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
3 maoni

Grain Moisture Meter

+1
1
Chapa Mpya
Hali
Ar991
Chapa
Moisture
Aina
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Grain Moisture meter Hiki ni Kifaa Cha kisasa kwa ajili ya kupimia unyevu wa mazao ya nafaka mbalimbali. Ni muhimu kupima na kujua condition ya mazao kabla ya kuyanunua na kuyahifadhi kwenye maghala kuepuka hasara inayotokana na kuvunda kwa mazao na kuharibika. Kifaa hichi kinapima mazao takribani 13 kama ifuatavyo; 0.Mpunga 1. Ngano 2. Mahindi 3. Shairi 4. Mchele 5. Mtama 6. Chakula cha mifugo 7.canola 8. Mbegu za tikiti 9.ufuta 10. Soya 11.mbegu za maboga 12.karanga 13.mbegu mbalimbali Kifaa hiki utakipata kwetu kwa bei ya offer Kumbuka biashara ya mazao ni risk kama hutozingatia unyevu/kukauka kwa mazao. Tunapatikana mtaa wa NYAMWEZI na MKUNGUNI kariakoo
Grain Moisture MeterGrain Moisture MeterGrain Moisture Meter
TSh 160,000
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif