tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Zana za Kupima na Upimaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
8 maoni

Brix Meter

+1
Chapa Mpya
Hali
Brix Meter
Chapa
Brix Meter
Aina
Uwasilishaji
Nchini kote
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 05:00-23:00
Tunauza Brix Meter, kifaa cha kisasa kinachotumika kupima kiwango cha sukari ndani ya maji, juisi, asili ya matunda na vinywaji vingine. Brix Meter hii ni rahisi kutumia, inatoa matokeo sahihi haraka na inafaa kwa viwanda vya vyakula na vinywaji, wadau wa kilimo na biashara zinazohitaji kuhakikisha ubora na ladha ya bidhaa zao. Inakusaidia kupima viwango vya sukari kwa usahihi na kufanya maamuzi bora kwenye uzalishaji.
TSh 200,000
Bei isiyobadilika
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif