tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Massage
  4. Majukwaa ya Mtetemo
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
2 maoni

Vibration Plate Massage Machine

Nyingine
Aina ya Massager
Nyingine
Eneo la Mwili
Chapa Mpya
Hali
VIBRATION MACHINE – FANYA MAZOEZI KWA URAHISI NYUMBANI! Ungependa kufanya mazoezi ukiwa nyumbani? Hii hapa ni mashine maalumu ya vibration inayokusaidia kufanya mazoezi kwa urahisi na kwa muda unaokufaa! Ina sifa mbalimbali: Hutikisa mwili kupitia teknolojia ya vibration. Ina sehemu ya kusimamia miguu yenye muundo wa massage. Ina digital display kwa ajili ya kuonyesha taarifa za matumizi. Ina viwango tofauti vya vibration. Muundo wake ni imara na rahisi kutumia. Inafaa kwa mazoezi ya nyumbani. Fanya mazoezi yako kwa urahisi bila kwenda gym!
Vibration Plate Massage Machine
TSh 550,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif