Ongeza uzalishaji wa matofali kwa mashine zetu zilizoundwa kwa teknolojia ya kisasa na zinaweza kutumia malighafi mbalimbali kulingana na mahitaji yako.
Kwa mchanganyiko sahihi huzalisha matofali imara, yenye ubora wa juu... pia unaweza kufunga mold za tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako kama ... hollow bricks,solid block,paver na curbstones
*Mashine inatoa tofali sita kwa wakati mmoja .