tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Mwangaza
  4. RGB LED Mwangaza
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
7 maoni

ZSYB YB-400R RGB LED Light Stick / Taa Ya Studio Ya Video Na Picha

Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Full RGB & Bi-color: Inakupa rangi mbalimbali za kuvutia za RGB pamoja na uwezo wa kubadilisha joto la mwanga (Color Temperature) kulingana na mahitaji ya eneo lako la kazi. ​Inakuja na Mabawa (Barnadoors/Wings): Inakusaidia kudhibiti na kuelekeza mwangaza wako kwa ustadi mkubwa bila kusambaa ovyo. ​Matumizi Rahisi (Handheld & Stand): Ni nyepesi, inashikika mkononi kwa urahisi sana au kuwekwa kwenye stendi ya taa. ​Inafaa kwa Kila Kazi: Ni nzuri kwa picha za bidhaa (product photography), mahojiano, video za muziki, na urembo. ​Kifaa Kamili: Inakuja na adapta yake ya umeme na vifaa vyote vya kuanzia kazi mara moja.
ZSYB YB-400R RGB LED Light Stick / Taa Ya Studio Ya Video Na PichaZSYB YB-400R RGB LED Light Stick / Taa Ya Studio Ya Video Na Picha
TSh 400,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif