tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Mwangaza
  4. Taa za Ukanda
  5. Neon Taa za Ukanda
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
7 maoni

Neon LED Strip Light Kali Ya Meter 5 (12V)

Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Urefu Kamili (5 Meters): Inatoa urefu mzuri wa kutosha kwa ajili ya kupendezesha vyumba, maduka, maofisi, dari (popote au gypsum), TV backlighting, au kumbi za starehe. ​Inakuja na Remote Control: Unaweza kubadilisha rangi na staili za mwangaza kwa urahisi ukiwa umekaa mbali. ​Rangi za Kuvutia (RGB): Inatoa mwangaza laini wa Neon unaong'ara vizuri bila kuchoma macho, ukileta muonekano wa kisasa na wa kifahari (Modern aesthetic look). ​Matumizi Salama: Inatumia 12V, inaokoa umeme na ni rahisi kufunga kwenye eneo lako unalotaka kupendezesha.
Neon LED Strip Light Kali Ya Meter 5 (12V)Neon LED Strip Light Kali Ya Meter 5 (12V)
TSh 40,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif