tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Mwangaza
  4. Taa za Reli
  5. LED Mwangaza
Dar es Salaam, Ilala, 29/10
22 maoni

Magnetic Track Light

AFX Lighting
Chapa
Taa za Reli
Aina
Inayoweza kukunjwa
Vipengele
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Ilala
1 mchana
TSh 5,000 - 10,000
Punguzo! magnetic track lights zinauzwa! boresha mjengo wako kwa ta hizi za kisasa kabisa za reli za sumaku ambazo unaweza kuzisogeza na kuzipanga utakavyo! zinafaa sana kwa sebule, ofisi, vyumba vya kulala, au maduka ya kisasa ili kuleta muonekano wa kifahari (premium look). orodha ya bei za reli (tracks): reli ya mita 1⁄2: tsh 12,000 (inakaa taa 4) reli ya mita 1: tsh 8,000 reli ya mita 2: tsh 15,000 (inakaa taa 6, 8 mpaka 10) orodha ya bei za taa (led modules): taa ya wati 30 (30w): tsh 25,000 taa ya wati 45 (45w): tsh 30,000 tunapatikana: kariakoo, jengo la swahili plaza, mtaa wa ndungombe na swahili mawasiliano (piga/whatsapp): wahi sasa upate bidhaa bora kwa muonekano wa kisasa wa nyumba au ofisi yako!
Magnetic Track LightMagnetic Track LightMagnetic Track LightMagnetic Track Light
TSh 30,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif