taa hizi zina uwezo wa kubadilisha rangi za mwanga (kama vile mwanga mweupe na mwanga wa njano tulivu/warm white) na mfumo wa kuwasha kwa kugusa (Touch Control) juu ya kifuniko chake.
Hazina waya (cordless), kwani zinatumia betri ya ndani inayochajiwa kwa kebo ya USB, na hivyo kuifanya iwe rahisi kuzihamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine bila uhitaji wa plagi ya umeme ya ukutani.