Mwili: T6061 aviation-grade aluminium alloy, imara na unaodumu.
Mwanga: LED yenye mwanga mkali.
Zoom function: Inabadilisha mwanga kuwa wa eneo pana au mwanga unaolenga mbali.
Modes: High, Medium, Low, Strobe na SOS.
Charging: USB Type-C.
Water resistant: Imetangazwa kuwa inastahimili maji.
Shock resistant: Imetengenezwa kustahimili mishtuko.
Matumizi: Camping, matembezi ya usiku, ulinzi na shughuli za nje.