tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Biashara Inauzwa
Dar es Salaam, Ilala, 28/05
5 maoni

Shule Inauzwa

+1
2
Ardhi ya Biashara
Aina
15000sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Bomba la maji taka, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Stima, Maegesho ya Gari, Usambazaji wa Gesi
Vituo vya
*shule inauzwa* kuna shule inauzwa ipo chamazi wilaya ya temeke. ipo maeneo ya chamazi magengeni dar es salaam na ina vitu vifuatavyo:- -ina vyumba 12 vya madarasa -ina jengo la utawala na maofisi -ina bwalo kubwa -ina nyumba 2 za walimu -ina hosteli 2 za boys na girls -ina zahanati ya shule -ina kisima cha maji kirefu cha kisasa ina. umeme -ipo maabara nzuri -ipo maktaba -jiko -ofisi za walimu. -ipo katika eneo la hekari 15. -inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi mita 500. kutoka main road. bei ... ni 3. bilioni *lakini kwa sasa natoa offer 1.8bl.*
Shule Inauzwa
TSh 1,800,000,000Outright Price
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif