Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kinauzwa,kimezungukwa na makazi ya watu, kinafaa kwa makazi ya watu na kibiashara, kimezungukwa na huduma zote za kijamii, 1km kutoka barabara ya rami, kiwanja hakituwami maji, karibuni sana wateja