tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na viwanja vya kuuza
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Dar es Salaam, Ilala, 20/10
2 maoni

Kiwanja Nakiuza Kipo MKURANGA, Malela, Kata Vianzi. Soma Maelezo Chini

+1
Ardhi ya Makazi
Aina
750sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Undeveloped
Hali ya Maendeleo
Kiwanja nakiuza kipo MKURANGA, Malela kata ya Vianzi, eneo ni tambarale, ukubwa wa eneo hatua za miguu (20x40), nakiuza kwa bei ndogo Million tatu na laki mbili (3,200,000/=). huduma za kijamii zipo. 1: Umeme upo mita 200 kutoka kwenye kiwanja 2: Kituo cha afya kipo mita 300 kutoka kwenye kiwanja 3: Maji yapo 4: Shule zipo (Msingi na Secondary). Kama Upo Seriously nicheck.
Kiwanja Nakiuza Kipo MKURANGA, Malela, Kata Vianzi. Soma Maelezo ChiniKiwanja Nakiuza Kipo MKURANGA, Malela, Kata Vianzi. Soma Maelezo ChiniKiwanja Nakiuza Kipo MKURANGA, Malela, Kata Vianzi. Soma Maelezo ChiniKiwanja Nakiuza Kipo MKURANGA, Malela, Kata Vianzi. Soma Maelezo Chini
TSh 3,200,000Outright Price
Inaweza kujadiliwa
5 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif